Entertainment

50 Cent aahidi album mpya kabla ya mwaka haujaisha

50 Cent aahidi album mpya kabla ya mwaka haujaisha
Profile photo of sadock

50 Cent ametoa taarifa njema kwa mashabiki wake waliokuwa wakisubiri album mpya kwa muda mrefu.

“I have an album that I’ve been waiting to put out,” Alifunguka kwenye kipindi cha “Access Hollywood Live” interview. “It’ll be [out at] the end of the year. It won’t be as smart as the JAY-Z record. I wanted to make music that people have fun to. You can get it immediately, without having to sit and analyze.”

 

50 Cent hajaachia album mpya tangu alipoachia Animal Ambition mwaka 2014.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

chrissy-teigen-john-legend-selfie-getty

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia mtoto wapili

sadockNovember 22, 2017
huhuu

Tiwa savage: Mimi sio mjamzito, hizo ni taarifa za uongo

sadockNovember 22, 2017
clo1

Mkuu wa mkoa, Paul Makonda atembelea ofisi za Clouds Media Group kutoa pole

sadockNovember 22, 2017
pink-beautiful-trauma-tracklist

New Video: P!nk – Beautiful Trauma

sadockNovember 22, 2017