Entertainment

Afrimma 2017: Diamond aibuka kidedea tuzo ya msanii bora wa kiume Afrika Mashariki

Afrimma 2017: Diamond aibuka kidedea tuzo ya msanii bora wa kiume Afrika Mashariki
Profile photo of sadock

Msanii wa muziki Bongo, Diamond ameibuka mshindi baada ya kunyakuwa tuzo ya Afrimma katika kipengele cha Best Male East Africa.

Tuzo hizo ambazo zimetolewa usiku wa kuamkia leo Taxes nchini Marekani, Diamond alikuwa anashindana na wasanii hawa kwenye kipengele icho cha msanii vora Afrika Mashariki,

Eddy Kenzo – Uganda

Diamond Platnumz – Tanzania

Jacky Gosee – Ethiopia

Ali Kiba – Tanzania

Navio – Uganda

Bebe Cool – Uganda

Sauti Sol – Kenya

Dynamq – South Sudan

Nyashinski – Kenya

Darassa – Tanzania

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

mgid_ao_image_logotv

New Video: Jennifer Hudson – Burden Down [Official Music Video]

sadockDecember 13, 2017
_99171871_cef98067-831f-46ed-9b08-b20ac967d873

Oscar Pistorius apata majeraha baada kupigana gerezani

sadockDecember 13, 2017
eminem-e1507948158888-825x620

Eminem: Huwa narekodi ngoma zaidi ya 50 ili nipate ngoma 20 bora kwa ajili ya Album

sadockDecember 11, 2017
WAKADR

Waka ya Diamond yashiKa namba 1 Tanzania, Kenya na Uganda kwenye mtandao wa YouTube

sadockDecember 11, 2017