Hot Below Trending

Alberto Msando na Lawrence Masha wahamia CCM

Alberto Msando na Lawrence Masha wahamia CCM
Profile photo of sadock

Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA, Lawrence Masha ameomba kupokelewa katika chama chake cha zamani cha CCM alichokihama wakati wa Uchaguzi mkuu mwaka 2015.

Lawrence Masha amejiunga leo jumanne na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika vikao vya Chama hicho vinavyoendelea Ikulu jijini Dar es salaam  na kusema kuwa ”Nimekuja hapa kuwaombeni mnipokee mwana mpotevu nimerudi, Niko imara na nitakuwa mwaminifu kwa CCM.

lawrence-masha

Naye, Wakili Msomi aliyewahi kuwa mshauri wa Chama cha ACT Wazalendo, Albert Msando amejiunga na Chama Cha Mapinduzi katika vikao hicho vinavyoendelea Ikulu.

Katika hali nyingine ya kushangaza ni kwa Kiongozi mkubwa wa Baraza la vijana wa CHADEMA Taifa, Patrobas Katambi naye ametangaza kuachana na CHADEMA na kujiunga rasmi CCM.

Comments

comments

Hot Below Trending

More in Hot Below Trending

facup-the-cup-3323603b-1

Ratiba ya raundi ya nne ya FA, Timu ya Nottingham Forest iliyoitoa Arsenal kupambana na Hully City

sadockJanuary 9, 2018
chiiiii

Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya, Jeshi la Polisi Dodoma wathibitisha

sadockJanuary 9, 2018
tottenham_kane_mobile_top

Orodha ya wacheza wenye thamani ya juu zaidi duniani

sadockJanuary 9, 2018
25008524_375147772949765_5376644961137590272_n

Vanessa Mdee aachia cover ya album yake mpya ‘Money Mondays’

sadockDecember 20, 2017