Entertainment

Album mpya ya Nay wa Mitego yakamilika, Producer wake afunguka

Album mpya ya Nay wa Mitego yakamilika, Producer wake afunguka
Profile photo of sadock

Mwaka 2017 unaweza kuwa mwaka ambao tutapokea album nyingi kutoka kwa wasanii wa Bongo Fleva baada ya kuzipotezea kwa muda mrefu, Moja ya album hizo ni ya Nay wa Mitego.

Ossam, Producer wa Nay wa Mitego amesema Album mpya ya Nay wa Mitego ipo tayari lakini tarehe na utaratibu wa kuiachia atatangaza hivi karibuni.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

terdr

Video tano bora zilizo trend kwenye mitandao ya kijamii wiki hii-Dance Videos

sancho songJuly 25, 2017
foby3

New Music Video kutoka (FOBY – ILA) official music video

sancho songJuly 25, 2017
DFjwyFeWAAAoyPj

Picha: Masanja awatembelea majeruhi wa ajali ya St.Vicent

sadockJuly 25, 2017
mavo

Mkwaju mwingine wa WcB mpya kutoka kwa Rich Mavoko ft Fid Q ‘Sheri’

sancho songJuly 25, 2017