Entertainment

Album ya Dj Khaled ‘Grateful’ yaendelea kushika namba moja chart ya Billboard kwa wiki mbili mfululizo

Album ya Dj Khaled ‘Grateful’ yaendelea kushika namba moja chart ya Billboard kwa wiki mbili mfululizo
Profile photo of sadock

Major Key Alert, Dj Khaled ameendelea kukaa kileleni kwenye chart ya Billboard 200 na album yake mpya ‘Grateful’

Album ya Dj Khaled kwa wiki iliopita tu imeuza kopi 70,000 na zingine 42,000 kutoka kwenye streaming, Billboard wameripoti kuwa nyimbo za kwenye album hiyo zimesikilizwa mara 63.4 million. Nyuma yake yupo Calvin harris na album yake ya ‘Funk Wav Bounces Vol. 1′

Hata hivyo Album ya rapper mkongwe, Jay Z hajaingia chart hiyo kwasababu ya kuachia album yake kwenye Tidal na Spring tu, hata hivyo imemsaidia kwenda Platnum ndani ya siku tano tu.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

mgid_ao_image_logotv

New Video: Jennifer Hudson – Burden Down [Official Music Video]

sadockDecember 13, 2017
_99171871_cef98067-831f-46ed-9b08-b20ac967d873

Oscar Pistorius apata majeraha baada kupigana gerezani

sadockDecember 13, 2017
eminem-e1507948158888-825x620

Eminem: Huwa narekodi ngoma zaidi ya 50 ili nipate ngoma 20 bora kwa ajili ya Album

sadockDecember 11, 2017
WAKADR

Waka ya Diamond yashiKa namba 1 Tanzania, Kenya na Uganda kwenye mtandao wa YouTube

sadockDecember 11, 2017