Entertainment

AY amshirikisha Diamond kwenye Rmx ya Zigo

AY amshirikisha Diamond kwenye Rmx ya Zigo
Profile photo of sadock

Kwenye Post aliyoweka Ay akimpongeza Diamond kwa ushindi wa Tuzo za MTV EMA na kuahidi kuwa vitu vikubwa vinakuja basi inaonekana Rmx ya Hitsong yake ya ‘Zigo’ ni moja ya vitu hivyo vikubwa.

Ay

Japo mwenyewe bado hajatangaza lakini kampuni inayotengeneza video ya wimbo huo, Kampuni ya Studio Space Pictures ya Afrika Kusini imeshea picha Instagram ya wawili hao wakiwa kwenye utengenezaji wa video hiyo

“Earlier today with @aytanzania @ @diamondplatnumz #ZigoRemix #studiospacepictures.”

Haijulikani kama ni Diamond pekee ndiye aliyemo kwenye remix hiyo lakini kuna uwezekano mkubwa wasanii wengine wakali wakawa wameshirikishwa, AY aliwahi kusema kuwa aliwahi kumtumia Wizkid wimbo huo na alikua anataka wafanye Rmx.

Hii itakuwa mara ya pili Diamond na AY kukutana kwenye kazi ya pamoja. Diamond amewahi kuweka ladha kwenye wimbo wa AY ‘Asante.’

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

facup-the-cup-3323603b-1

Ratiba ya raundi ya nne ya FA, Timu ya Nottingham Forest iliyoitoa Arsenal kupambana na Hully City

sadockJanuary 9, 2018
chiiiii

Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya, Jeshi la Polisi Dodoma wathibitisha

sadockJanuary 9, 2018
25008524_375147772949765_5376644961137590272_n

Vanessa Mdee aachia cover ya album yake mpya ‘Money Mondays’

sadockDecember 20, 2017
Vanessa Mdee

Vanessa Mdee asaini mkataba mnono na Universal Music Group, kusimamia usambazaji wa kazi zake nje

sadockDecember 20, 2017