Entertainment

Baada ya Wema Sepetu, Jacquline Wolper na yeye kuzindua App yake

Baada ya Wema Sepetu, Jacquline Wolper na yeye kuzindua App yake
Profile photo of sadock

Baada ya TZ Sweetheart Wema Sepetu kufungua application yake ya simu za mikononi (Smartphones) na kuwa wezesha mashabiki zake kupata habari zake kwa haraka zaidi na kujiweka karibu nao muda wote kwa kuchat na mengineyo, Jacqueline Wolper kutoka katika kiwanda cha Bongo Movie pia ametusanua tukae mkao wa kula kuipokea application yake pia.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Jacqueline Wolper niliyanyaka baadhi ya maneno kwenye moja kati ya captions ndefu ambazo anapost mrembo huyo kwenye page yake hiyo.

 “Nina mengi sana nitayaongea NIKIZINDUA APP YANGU verry soon mtajua kila kitu kuliko uwongo unaoendelea kusambaa bila huruma” kwenye caption ya moja kati ya posts za Wolper July 29 yalitosha kuniaminisha kuwa mrembo huyo amedhamiria kuwaletea mashabiki zake App itakayo muweka nao karibu.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

Hamisa

Hamisa Mobetto amuita mtoto wake ‘Abdul Naseeb’ je, ni uthibitisho kuwa ni wa Diamond?

sadockAugust 18, 2017
aptopix-jdrf-la-14th-annual-imagine-gala

Usher agoma kuwalipa waliomshitaki kuwa amewaambukiza gonjwa la ngono

sadockAugust 16, 2017
fresh

New Video: Fid Q – Fresh ( Official Music Video)

sadockAugust 15, 2017
nay

New Video: Nay wa Mitego ft Rich Mavoko – Acheze

sadockAugust 11, 2017