Entertainment

Baraka da Prince: Sitambui kama Alikiba ni boss wa Rockstar4000, sijapewa taarifa hizo

Baraka da Prince: Sitambui kama Alikiba ni boss wa Rockstar4000, sijapewa taarifa hizo
Profile photo of sadock

Msanii kutoka label ya muziki ya Rockstar4000, Baraka da Prince amesema hajapewa taarifa zozote kuhusu msanii mwenzake, Alikiba kuteuliwa kuwa Boss wa label hiyo.

Kupitia kipidi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Baraka amedai kuwa taarifa hizo amekuwa akiziona kwenye mitandao tu kama watu wengine lakini uongozi wake haujampa taarifa yoyote kwa maana hiyo hamtambui kama Boss wake bali msanii mwenzake chini ya label hiyo.

Alikiba alitangazwa wiki iliyopita kuwa mkurugenzi na mmoja ya wa miliki wa label hiyo ya muziki inayosimamia wasanii mbalimbali Afrika.

 

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

barnaba

New Video: Barnaba – Mapenzi Jeneza (Official Music Video)

sadockSeptember 20, 2017
future-wizkid-world-tour (1)

New Music: Wizkid f/ Future – Everytime

sadockSeptember 20, 2017
18_ba_ANP-53285975

Uliikosa orodha ya washindi wa tuzo za Emmys 2017, Hii hapa yote

sadockSeptember 20, 2017
atengeneze

Diamond akiri mtoto wa Hamisa ni wa kwake, aomba msamaha

sadockSeptember 19, 2017