Entertainment

Barnaba aanzisha Label ya muziki ‘High Table Sound’, Tayari ameanza kusimamia wasanii

Barnaba aanzisha Label ya muziki ‘High Table Sound’, Tayari ameanza kusimamia wasanii
Profile photo of sadock

Muimbaji na mtunzi wa nyimbo, Barnaba, ameanzisha label ya kusimamia wasanii wa muziki iitwayo ‘High Table’ na tayari ameshawasaini wasanii wanne.

barabaaa

Barnaba ameiambia E-News ya EATV kuwa wasanii ambao tayari wamesainishwa ni Ice Boy, Sia, Asia na Mula Fleva.

“Kuna Ice Boy yule anayerap alikuwa kwa Young Killer zamani, nimeshamchukua. Watu watashangaa kwanini Barnaba amechukua msanii wa kurap wakati yeye anaimba. Nimemchukua msanii wa kike anarap anaitwa Sia. Pia nina msanii wangu anawakilisha pande za Njombe, Mula Fleva. Nimemchukua na Asia yule anayeimba pia.”  Amesema Barnaba.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

barnaba

New Video: Barnaba – Mapenzi Jeneza (Official Music Video)

sadockSeptember 20, 2017
future-wizkid-world-tour (1)

New Music: Wizkid f/ Future – Everytime

sadockSeptember 20, 2017
18_ba_ANP-53285975

Uliikosa orodha ya washindi wa tuzo za Emmys 2017, Hii hapa yote

sadockSeptember 20, 2017
atengeneze

Diamond akiri mtoto wa Hamisa ni wa kwake, aomba msamaha

sadockSeptember 19, 2017