Uncategorized

Ben Pol, Billnas, Ray Vanny na Ruby wametajwa na MTV Base kwenye orodha ya wasanii wakuangalia zaidi 2017

Ben Pol, Billnas, Ray Vanny na Ruby wametajwa na MTV Base kwenye orodha ya wasanii wakuangalia zaidi 2017
Profile photo of sadock

Kituo cha runinga cha MTV Base kimetaja majina 50 ya wasanii wa Afrika wa kuangalia zaidi mwaka huu 2017.

Kwenye orodha hiyo ndefu, Wasanii wanne kutoka Tanzania wametajwa, Ben Pol ametajwa kupitia ngoma yake mpya ya “Phone” akifuatiwa na Billnas ambaye ameingia kupitia ngoma ya “Chafu Pozi”

Wasanii17

RayVanny ametajwa na ngoma yake ya “Natafuta kiki” Huku Ruby pia akitajwa kupitia wimbo wa “Walewale”

 

Comments

comments

Uncategorized

More in Uncategorized

MISS-2006

Mashindano ya Miss Tanzania yapigwa marufuku kufanyika

sadockSeptember 26, 2017
mey

Meya wa jiji la Ozamiz nchini Ufilipino auawa kwa tuuma za madawa ya kulevya

sancho songJuly 31, 2017
ac

Ni bora Dk Charles Tizeba ajiuzulu- ACT Wazalendo

sancho songJuly 31, 2017
tl

LHRC-Twasikitishwa na Bunge kutengeua uteuzi wa Wabunge 8 CUF

sancho songJuly 29, 2017