Entertainment

BET HipHop Awards 2016: Orodha kamili ya washindi na matukio

BET HipHop Awards 2016: Orodha kamili ya washindi na matukio
Profile photo of sadock

Tuzo za BET HipHop 2016 zimeoneshwa asubuhi ya leo, Tuzo hizo zilirekodiwa mwezi uliopita japo majina ya washindi yametangazwa leo.

khal

Dj Khaled ambaye pia alikuwa host wa tuzo hizo ameongoza kwa kubeba tuzo tatu huku Drake ambaye alikuwa anaongoza na nomination 14 ameambulia tuzo mbili tu.

Tazama orodha kamili ya washindi,

Best Hip-Hop Video: Drake, “Hotline Bling”

Best Collaboration, Duo or Group: Fat Joe and Remy Ma ft. French Montana and Infared, “All the Way Up”

Best Live Performer: Kendrick Lamar

Lyricist of the Year: Kendrick Lamar

Video Director of the Year: Director X

DJ of the Year: DJ Khaled

Producer of the Year: Metro Boomin

MVP of the Year: DJ Khaled

Track of the Year: Fat Joe and Remy Ma ft. French Montana and Infared, “All the Way Up”

Album of the Year: Drake, Views

Best New Hip-Hop Artist: Chance the Rapper

Hustler of the Year: DJ Khaled

Made-You-Look Award (Best Hip-Hop Style): Kanye West

Best Mixtape: Chance the Rapper, Coloring Book

Sweet 16: Best Featured Verse: Kendrick Lamar and Beyoncé, “Freedom”

Impact Track: J. Cole, “Love Yourz”

People’s Champ Award: Travis Scott, “Antidote

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

facup-the-cup-3323603b-1

Ratiba ya raundi ya nne ya FA, Timu ya Nottingham Forest iliyoitoa Arsenal kupambana na Hully City

sadockJanuary 9, 2018
chiiiii

Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya, Jeshi la Polisi Dodoma wathibitisha

sadockJanuary 9, 2018
25008524_375147772949765_5376644961137590272_n

Vanessa Mdee aachia cover ya album yake mpya ‘Money Mondays’

sadockDecember 20, 2017
Vanessa Mdee

Vanessa Mdee asaini mkataba mnono na Universal Music Group, kusimamia usambazaji wa kazi zake nje

sadockDecember 20, 2017