Entertainment

Billboard kuanza kutumia views za youtube kupanga chart zao za muziki

Billboard kuanza kutumia views za youtube kupanga chart zao za muziki
Profile photo of sadock

Kwa mujibuwa HITS Daily Double Kwa mara ya kwanza kwenye historia ya muziki,Billboard imekubali kutumia VIEWS za Youtube kama kigezo cha mauzo bora ya Muziki.

Chati kubwa ya muziki na albums ya Billboard Hot 20o imekubali kuchukua Namba ya watazamaji wa kazi za wasanii kama sehemu na kigezo cha kuonyesha kuwa kazi za msanii zinauza na kitawekwa wakati album inaingia kwenye chati zao.

Mpaka sasa tunasubiri kuona wasanii wa nje watapokeaje hili swala ukizingatia wengi hufanya izuri sana kwenye Youtube kwa video zao na albums kusikilizwa sana.

billboard_hot100

Hapa YouTube itasaidia kuongeza namba kubwa ya mauzo ya muziki, kupunguza pesa nyingi wanazotumia wasanii kutangaza kazi zao,

Pia wakongwe wa muziki Marekani hawapendi jambo hili na tayari mmiliki wa lebo inayosimamia kazi za Kendrick Lamar  Top Dawg Entertainment CEO Anthony “Top Dawg” Tiffith alisema February 2016, hatupendi wanachofanya Recording Industry Association of America kuhesabu namba za watu waliosikiliza album mtandaoni ‘TIDAL, SPOTIFY’ kama sehemu ya mauzo, tupaki kwenye kununua album kama kigezo, uza album milioni moja , hapo nipehongera yangu.

 

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

mgid_ao_image_logotv

New Video: Jennifer Hudson – Burden Down [Official Music Video]

sadockDecember 13, 2017
_99171871_cef98067-831f-46ed-9b08-b20ac967d873

Oscar Pistorius apata majeraha baada kupigana gerezani

sadockDecember 13, 2017
eminem-e1507948158888-825x620

Eminem: Huwa narekodi ngoma zaidi ya 50 ili nipate ngoma 20 bora kwa ajili ya Album

sadockDecember 11, 2017
WAKADR

Waka ya Diamond yashiKa namba 1 Tanzania, Kenya na Uganda kwenye mtandao wa YouTube

sadockDecember 11, 2017