Entertainment

Blac Chyna aingia studio kurekodi album yake ya kwanza

Blac Chyna aingia studio kurekodi album yake ya kwanza
Profile photo of sadock

Sahau kuhusu kuwa Video Vixen tu,  Blac Chyna ni kali kwenye mic pia, ameingia studio kuandaa album.

Basi mrembo huyo anatarajia kuachia albamu yake ya kwanza ambayo amerap. Inadaiwa kuwa katika albamu hiyo Chyna amepata msaada kutoka kwa wakali wa rap kama Yo Gotti, Tory Lanez, Jeremih na Swae Lee.

Mally Mall ambaye pia amewahi kufanya kazi na rapper Tyga, ametajwa kuandaa albamu hiyo.

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, unadai kuwa Nicki Minaj ndio amemvuta Blac kuingia kwenye muziki.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

mgid_ao_image_logotv

New Video: Jennifer Hudson – Burden Down [Official Music Video]

sadockDecember 13, 2017
_99171871_cef98067-831f-46ed-9b08-b20ac967d873

Oscar Pistorius apata majeraha baada kupigana gerezani

sadockDecember 13, 2017
eminem-e1507948158888-825x620

Eminem: Huwa narekodi ngoma zaidi ya 50 ili nipate ngoma 20 bora kwa ajili ya Album

sadockDecember 11, 2017
WAKADR

Waka ya Diamond yashiKa namba 1 Tanzania, Kenya na Uganda kwenye mtandao wa YouTube

sadockDecember 11, 2017