Entertainment

Bobby Valentino kwenye skendo ya kumkimbia kahaba baada ya huduma

Bobby Valentino kwenye skendo ya kumkimbia kahaba baada ya huduma
Profile photo of sadock

Staa wa RNB, Bobby V amesema amesingiziwa kuwa alikimbia kumlipa kahaba baada ya kupata huduma zake.

Msemaji wa Bobby V anasema mteja wake alikuwa na mwanamke flani weekend hii ila mwanamke huyo hakuwa kahaba ila baadae ndio ilidaiwa kuwa Bobby hajalipia huduma za mwana dada huyo kitu ambacho amekanusha vikali akidai ni BLACK MAIL.

Kilichofanya kesi hii imekuwa kubwa ni sababu mwanamke huyo alikuwa Transgender ‘Mwanaume aliyebadilisha jinsia’ ila Bobby V amethibitisha kuwa hakujua jambo hilo

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

Hamisa

Hamisa Mobetto amuita mtoto wake ‘Abdul Naseeb’ je, ni uthibitisho kuwa ni wa Diamond?

sadockAugust 18, 2017
aptopix-jdrf-la-14th-annual-imagine-gala

Usher agoma kuwalipa waliomshitaki kuwa amewaambukiza gonjwa la ngono

sadockAugust 16, 2017
fresh

New Video: Fid Q – Fresh ( Official Music Video)

sadockAugust 15, 2017
nay

New Video: Nay wa Mitego ft Rich Mavoko – Acheze

sadockAugust 11, 2017