Entertainment

Boss wa Cash Money, Birdman atangaza kuja Tanzania mwaka 2018

Boss wa Cash Money, Birdman atangaza kuja Tanzania mwaka 2018
Profile photo of sadock

Boss wa Cash Money, Birdman ametangaza mpango wake wa kuitembelea Afrika mwaka 2018 na Tanzania ikiwemo.

Kupitia mtandao wa Instagram, Bird amethibitisha kuwa ifikapo mwezi February atafanya ziara katika bara la Afrika na atatembelea nchi tano moja wapo ikiwemo ni Tanzania.

birdman

Nchi nyingine ambazo atatembelea rapper huyo ni Nigeria, Kenya, Gambia na Ghana.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

chrissy-teigen-john-legend-selfie-getty

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia mtoto wapili

sadockNovember 22, 2017
huhuu

Tiwa savage: Mimi sio mjamzito, hizo ni taarifa za uongo

sadockNovember 22, 2017
clo1

Mkuu wa mkoa, Paul Makonda atembelea ofisi za Clouds Media Group kutoa pole

sadockNovember 22, 2017
pink-beautiful-trauma-tracklist

New Video: P!nk – Beautiful Trauma

sadockNovember 22, 2017