Sports

CAF yatoa ratiba za michuano ya klabu Afrika, Azam FC na Yanga SC kukutana na hizi timu

CAF yatoa ratiba za michuano ya klabu Afrika, Azam FC na Yanga SC kukutana na hizi timu
Profile photo of sadock

Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetoa ratiba ya mechi za awali za michuano ya klabu Afrika mwakani,

Team ambazo zitaiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho,  Young SC watachuana na Ngaya de Mbe ya Comoro, Yanga wataanzia ugenini wikiendi ya Februari 10 hadi 12 kabla ya marudiano wikendi ya Februari 17 hadi 19, mwaka huu.

Huku Azam Fc wao wataanzia Raundi ya kwanza ambayo watatimua vumbi na mshindi kati ya Mbabane Swallows ya Swaziland na Opara United ya Botswana. Azam wataanzia nyumbani Machi 10 hadi 12 na marudiano Machi 17 hadi 19 mwakani, 2017.

Iwapo Yanga wakivuka hatua hiyo watakutana na mshindi kati ya Zanaco ya Zambia na APR ya Rwanda katika Raundi ya kwanza. Na Yanga wataanzia nyumbani Machi 10 hadi 12 kabla ya marudiano Machi 17 hadi 19 mwakani, 2017.

Comments

comments

Sports

More in Sports

MANCHESTER, ENGLAND - MAY 24:  Yaya Toure of Manchester City applauds supporters as he is replaced during the Barclays Premier League match between Manchester City and Southampton at Etihad Stadium on May 24, 2015 in Manchester, England.  (Photo by Shaun Botterill/Getty Images)

Toure apiga chini dola 459,000 kwa wiki kwenda China

sadockJanuary 18, 2017
football

China yaunda sheria mpya ya usajili, klabu kusajili wachezaji 3 tu kutoka za nje ya China

sadockJanuary 17, 2017
pep

Pep Guardiola asema ubingwa EPL kwa Man City ni ndoto

sadockJanuary 16, 2017
fifa-logo-design-history-and-evolution-wkuq7omm-2161994

FIFA kupiga kura ili kuongeza idadi ya mataifa yanayoshiriki Kombe la Dunia

sadockJanuary 10, 2017