Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limeomba radhi wanafamilia wote wa mpira wa miguu nchini Tanzania...
Klabu ya Simba SC imechukua ubingwa wa Ngao ya Jamii 2017 kwa mikwaju ya penati dhidi ya...
KLABU ya Simba imeendelea kumalika zaidi baada ya beki wake Mganda, Juuko Murshid kuungana na wenzake tayari...
Neymar alifunga bao mechi yake ya kwanza katika klabu yake mpya ya Paris St-Germain baada ya kununuliwa...
Usiku wa July 24 2017 kipindi cha Sports Bar ya Clouds TV kilirusha LIVE droo ya robo fainali ya michuano ya Ndondo...
Hatua ya 16 bora ya michuano ya Ndondo Cup 2017 inaendelea katika Uwanja wa Kinesi uliopo Victor...
Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Clement Sanga ameteuwa wajumbe wapya 12 watakaounda kamati ya mashindano. Katika...
Taarifa kutoka Ghana zinasema kwamba pametokea ajali ya gari lililokuwa limebeba miongoni mwa timu kongwe nchini humo...
Usiku wa Ijumaa ya June 30 staa wa soka wa kimataifa wa Argentina anayeichezea FC Barcelona ya...
Another One, Dj khaled ameachia video ya ngoma nyingine mpya kutoka kwenye album yake mpya ya ‘Grateful’...
Barua ya katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Mohammed Kiganja kwenda kwa Shirikisho la...
Kwa mwaka wa pili mfululizo nyota wa Real Madrid na Portugal, Cristiano Ronaldo ameongoza orodha ya Forbes...
Leo June 6 2017 mtandao wa bleacher report umemnukuu staa huyo akitaja sababu za kunyoa nywele hizo...
Yamebaki masaa takribani 20 kabla ya referee wa kijerumani Felix Brynch hajapuliza kipenga cha kuashiria kuanza kuanza...
Mlinzi wa zamani wa klabu ya Arsenal, Martin Keown amesema kuwa meneja wa Klabu hiyo Arsene Wenger...
Nyota wa mchezo wa gofu duniani Tiger Woods amekamatwa kwa kosa la kuendesha gari akiwa amelewa mjini...
Barcelona wamemteua Ernesto Valverde kuwa mkufunzi wao mkuu kwa mkataba wa miaka miwili, ambapo anaweza akaongezewa mwaka...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika {CAF} limewateua watanzania watatu kuwa maofisa waandamizi katika kusimamia mchezo wa...
Hii ndio ratiba ya michezo ya Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara
Chama cha wachezaji soka wakulipwa Uingereza (PFA) kimetaja kikosi chake bora cha ligi hiyo kwa msimu huu...
Mchezaji wa Manchester United Jesse Lingard amesaini mkataba mpya na timu yake na atakua akilipwa mshahara wa...
Meneja wa Tottenham Mauricio Pochettino amedokeza kwamba “haiwezekani” kwake kuwa meneja wa klabu ya Barcelona ya Uhispania....
Facebook
Twitter
Instagram
YouTube
LinkedIn
RSS