Entertainment

Chege kuachia Album mpya wiki hii

Chege kuachia Album mpya wiki hii
Profile photo of sadock

Msanii wa Bongo Flava, Chege amethibitisha ujio wa albamu yake yenye ngoma zaidi ya kumi itakayodondoka Ijumaa hii.

“Ijumaa na dondosha albamu ya Run Town, hii ni albamu yangu ya nne katika muziki, kwa sasa bado tupo kwenye kikao cha mwisho cha kujadili albamu hii ipatikane sehumu gani,” Alifunguka kwenye kipindi cha Daladala Beat ya Magic Fm.

Kwasasa Chege anatamba na ngoma yake mpya ya ‘Run Town’

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

barnaba

New Video: Barnaba – Mapenzi Jeneza (Official Music Video)

sadockSeptember 20, 2017
future-wizkid-world-tour (1)

New Music: Wizkid f/ Future – Everytime

sadockSeptember 20, 2017
18_ba_ANP-53285975

Uliikosa orodha ya washindi wa tuzo za Emmys 2017, Hii hapa yote

sadockSeptember 20, 2017
atengeneze

Diamond akiri mtoto wa Hamisa ni wa kwake, aomba msamaha

sadockSeptember 19, 2017