Entertainment

Chris Brown aachia Tracklist ya ngoma zitakazokuwepo kwenye Album yake mpya ‘Heartbreak On A Full Moon’

Chris Brown aachia Tracklist ya ngoma zitakazokuwepo kwenye Album yake mpya ‘Heartbreak On A Full Moon’
Profile photo of sadock

Chris Brown yupo njiani kuachia album yake mpya, tayari ameachia orodha ya kwanza ya album hiyo aliyoipa jina la  ‘Heartbreak On A Full Moon’

heartbroken

Ukiachana na ngoma kama Grass aint greener, Party na Privacy album hiyo mpya ya Chris Brown itakuwa na ngoma 40. Hata hivyo hajatangaza tarehe atakayoachia Album hiyo.

Kwenye upande mwingine pia, Documentary ya masiha ya staa huyo itatoka mwezi ujao (June 11)

Comments

comments

More in Entertainment

barnaba

New Video: Barnaba – Mapenzi Jeneza (Official Music Video)

sadockSeptember 20, 2017
future-wizkid-world-tour (1)

New Music: Wizkid f/ Future – Everytime

sadockSeptember 20, 2017
18_ba_ANP-53285975

Uliikosa orodha ya washindi wa tuzo za Emmys 2017, Hii hapa yote

sadockSeptember 20, 2017
atengeneze

Diamond akiri mtoto wa Hamisa ni wa kwake, aomba msamaha

sadockSeptember 19, 2017