Entertainment

Chris Brown amfungulia mtoto wake brand ya bidhaa za nguo na vipodozi

Chris Brown amfungulia mtoto wake brand ya bidhaa za nguo na vipodozi
Profile photo of sadock

Mtoto wa kwanza wa Chris Brown,Royalty mwenye umri wa miaka 3 anafata nyayo za Baba yake, Leo kupitia wazazi wake mtoto huyu maarufu ametambulisha bidha zake za nguo na vipodozi kwaajili ya watoto wa jinsia zote

0804-royalty-brown-clothing-sub-1

Nguo hizo zitakuwa na muonekano wa rangi tofauti, magauni na vipodozi kwaajili ya watoto wanaopenda kutoka na kupendeza, mama wa Royalty, Nia Guzman anasaidia pia.

0804-royalty-brown-clothing-main-1

Mama Royalty ametangaza Aug. 6 bidha hizo zitapatikana kwenye tovuti ya RoyaltyBrown.Com.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

Hamisa

Hamisa Mobetto amuita mtoto wake ‘Abdul Naseeb’ je, ni uthibitisho kuwa ni wa Diamond?

sadockAugust 18, 2017
aptopix-jdrf-la-14th-annual-imagine-gala

Usher agoma kuwalipa waliomshitaki kuwa amewaambukiza gonjwa la ngono

sadockAugust 16, 2017
fresh

New Video: Fid Q – Fresh ( Official Music Video)

sadockAugust 15, 2017
nay

New Video: Nay wa Mitego ft Rich Mavoko – Acheze

sadockAugust 11, 2017