Sports

CMG na Ndondo Cup 2017 dam dam

CMG na Ndondo Cup 2017 dam dam
Profile photo of sancho song

Usiku wa July 24 2017 kipindi cha Sports Bar ya Clouds TV kilirusha LIVE droo ya robo fainali ya michuano ya Ndondo Cup 2017, usiku huo ulikuwa ni usiku wa kupanga hatua ya robo fainali lakini na watangazaji wao waligawana timu za kushabikia.

Timu zilizokuwa zimeingia hatua ya robo fainali ya michuano ya Ndondo Cup 2017 ni Goms UnitedKibada OneMlalakuwa RangersVijana RangersStimtoshaMisosi FCKeko Furniture na Mpakani Kombaini hivyo droo ilichezeshwa na baada ya hapo ikachezeshwa droo ya pili.

Droo ya pili ilikuwa ni ya watangazaji wa vipindi vya Clouds TV na Radio walikuwa wanachagua timu watakazozisapoti na kuzipa motisha, vipindi vya Leo TenaXXLAmplifayaShilawaduClouds 360JahaziPower Breakfast na Alasiri vilichagua timu wanazozisapoti.

VIPINDI NA TIMU WANAZOZISAPOTI BAADA YA DROO

1- Power Breakfast-Kibada One

2- Leo Tena- Mlalakuwa Rangers

3- XXL- Keko Furniture

4- Jahazi- Mpakani Kombaini

5- Alasiri- Stimtosha

6- Clouds 360- Misosi FC

7- Amplifaya-Vijana Rangers

8- Shilawadu-Goms United

Comments

comments

Sports

More in Sports

juuko

Juuko arejea upya Simba, ni baada ya tetesi za kuhama

sadockAugust 15, 2017
a.espncdn.com

Neymar afunga mechi yake ya kwanza PSG

sadockAugust 14, 2017
kik

Vituko vya Ndondo Cup hatua ya 16

sancho songJuly 21, 2017
Yanga-makao-Makuu-1-681x425

Wajumbe wapya Yanga wateuliwa

sancho songJuly 19, 2017