Pick of the day

Cristiano Ronaldo aongoza orodha ya wanamichezo wanaolipwa pesa nyingi zaidi duaniani mwaka 2017

Cristiano Ronaldo aongoza orodha ya wanamichezo wanaolipwa pesa nyingi zaidi duaniani mwaka 2017
Profile photo of sadock

Kwa mwaka wa pili mfululizo nyota wa Real Madrid na Portugal, Cristiano Ronaldo ameongoza orodha ya Forbes ya wanamichezo wanaolipwa pesa nyingi zaidi duniani.

Cristiano ameongoza akiwa amelipwa dola Million 93 kutoka june 2016 hadi june 2017, Million 58 zinatokana na malipo ya pesa anayolipwa uwanjani huku dola Million 35 zikitokana na endorsements. Anafuatiwa na mcheza kikakupu maarufu, Lebron James aliyeingiza Dola Million 86.2 huku nafasi ya tatu ikienda kwa Leonel Messi mwenye Dola Million 80.

Hii ndio kumi bora ya wanamichezo waliongiza pesa nyingi zaidi 2017,

TOP10

 

Comments

comments

More in Pick of the day

Robert-Mugabe

Rais Robert Mugabe atangaza amejiuzulu

sadockNovember 22, 2017
beyonce-smile-brit-awards-billboard-1548

Beyonce aongoza orodha ya Forbes ya Mastaa wa kike kwenye muziki waliongiza mkwanja mrefu zaidi 2017

sadockNovember 21, 2017
robert_mugabe_0

Bunge la zimbabwe kuamua hatma ya Mugabe leo

sadockNovember 21, 2017
american-music-awards-logo-620x360

American Music Awards 2017: Orodha kamili ya washindi

sadockNovember 20, 2017