Lifestyle

Cristiano Ronaldo atimiza ahadi yake baada ya kutwaa ushindi

Cristiano Ronaldo atimiza ahadi yake baada ya kutwaa ushindi
Profile photo of sancho song

Leo June 6 2017 mtandao wa bleacher report umemnukuu staa huyo akitaja sababu za kunyoa nywele hizo baada ya ushindi wa 4-1 akiwa kafunga magoli mawili na kuisaidia timu yake ya Real Madrid kutwaa taji la 12 la UEFA Champions League msimu wa 2016/2017.

roll

“Niliweka ahadi mwenyewe kama tushinda Champions League na nitafunga goli basi nitanyoa nywele zangu tumeshinda na nimefunga”>>> Ronaldo

Comments

comments

Lifestyle

More in Lifestyle

170111_WAR_tillerson.jpg.CROP.promo-xlarge2

Marekani yasema haina uadui na Korea Kaskazini

sadockAugust 2, 2017
kibi

Kibiti Geust House na Viwanja vya panda bei

sancho songJuly 31, 2017
zzzzzzzz

(Eti kutwa nzima ajifungie chumbani kulia),Haya ni baadhi ya yale maneno 68 ya Diamond kwa Zari

sancho songJuly 29, 2017
mazi

Mazishi na muziki -Ghana

sancho songJuly 27, 2017