Hot Below Trending

Dan Evans afungiwa mwaka mmoja kujihusisha na tenis

Dan Evans afungiwa mwaka mmoja kujihusisha na tenis
Profile photo of sadock

Mchezaji wa tenis muingereza Dan Evans amefungiwa kwa mwaka mmoja kujihusisha na mchezo huo baada ya vipimo alivyochukuliwa kuonyesha kwamba anatumia Cocaine dawa zilizokataliwa michezoni.

Evans anasema alitumia dawa hizo kwa bahati mbaya.

Mchezaji huyo namba nne kwa ubora nchini Uingereza alipimwa katika michuano ya Barcelona Open April 24, na kuonekana kutumia dawa hizo, na adhabu hii itaanza tarehe hiyo ilipogunduliwa.

Kwa maana hiyo Evans mwenye miaka 27 atarejea uwanjani April 24, 2018.

 

”Nitarejea tena katika mchezo niupendao, ninaamimi hilo,nashukuru kwa kila mmoja aliyeniunga mkono wakati huu mgumu.” alisema Evans.

Tiyari alikuwa amefikia nafasi ya 41 duniani nwa kwa adhabu hii ataporomoka mpaka nafasi ya 108.

Comments

comments

Hot Below Trending

More in Hot Below Trending

_99171871_cef98067-831f-46ed-9b08-b20ac967d873

Oscar Pistorius apata majeraha baada kupigana gerezani

sadockDecember 13, 2017
eminem-e1507948158888-825x620

Eminem: Huwa narekodi ngoma zaidi ya 50 ili nipate ngoma 20 bora kwa ajili ya Album

sadockDecember 11, 2017
WAKADR

Waka ya Diamond yashiKa namba 1 Tanzania, Kenya na Uganda kwenye mtandao wa YouTube

sadockDecember 11, 2017
hero-man-utd-v-man-city-blog

Man United yachezea 2-1 kwa Man City

sadockDecember 11, 2017