Entertainment

Davido awabuluza Wizkid, Nyanshiski, Nasty C na kwenye tuzo ya MTV EMA 2017

Davido awabuluza Wizkid, Nyanshiski, Nasty C na kwenye tuzo ya MTV EMA 2017
Profile photo of sadock

Staa wa Muziki wa Nigeria, Davido ameibuka kidedea tuzo za MTV za Uingereza ‘MTV EMA’ baada ya kushindwa tuzo ya ‘Best African Act’

Capture-5

Wasanii wengine waliokuwepo kwenye kipengele hicho ni Wizkid, NastyC na Babes Wodumo kutoka Afrika Kusini, Nyansiski kutoka Kenya na C4 Pedro kutoka Angola.

Tuzo hiyo imewahi kuhsindwa na Alikiba, Diamond na Sauti Sol miaka iliyopita.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

chrissy-teigen-john-legend-selfie-getty

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia mtoto wapili

sadockNovember 22, 2017
huhuu

Tiwa savage: Mimi sio mjamzito, hizo ni taarifa za uongo

sadockNovember 22, 2017
clo1

Mkuu wa mkoa, Paul Makonda atembelea ofisi za Clouds Media Group kutoa pole

sadockNovember 22, 2017
pink-beautiful-trauma-tracklist

New Video: P!nk – Beautiful Trauma

sadockNovember 22, 2017