Entertainment

Demi-Leigh Nel-Peters, Miss wa South Africa atwaa taji la Miss Universe 2017

Demi-Leigh Nel-Peters, Miss wa South Africa atwaa taji la Miss Universe 2017
Profile photo of sadock

Miss South Africa, Demi-Leigh Nel-Peters ametwaa taji la Miss Universe 2017.

Nel-Peters amewashinda mshindi wa pili Miss Colombia Laura González na wa tatu Miss Jamaica Davina Bennett usiku wa Jumapili huko Las Vegas, Marekani.

Nel-Peters, 22, hivi karibuni alipata shahada ya business management, North-West University.

Walioingia wengine waliongia kwenye 13 bora ni kutoka Thailand, Sri Lanka, Ghana, Spain, Ireland, Croatia, Uingereza, Marekani, Brazil, Canada, Philippines, Venezuela na China.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

mgid_ao_image_logotv

New Video: Jennifer Hudson – Burden Down [Official Music Video]

sadockDecember 13, 2017
_99171871_cef98067-831f-46ed-9b08-b20ac967d873

Oscar Pistorius apata majeraha baada kupigana gerezani

sadockDecember 13, 2017
eminem-e1507948158888-825x620

Eminem: Huwa narekodi ngoma zaidi ya 50 ili nipate ngoma 20 bora kwa ajili ya Album

sadockDecember 11, 2017
WAKADR

Waka ya Diamond yashiKa namba 1 Tanzania, Kenya na Uganda kwenye mtandao wa YouTube

sadockDecember 11, 2017