Entertainment

Diamond aendelea kuwateka mastaa wa Marekani, Swizz Beatz amuita ‘KING’

Diamond aendelea kuwateka mastaa wa Marekani, Swizz Beatz amuita ‘KING’
Profile photo of sadock

Milango ya kuwateka mastaa wa Marekani inaendelea kufunguka kwa Diamond. Baada ya Dj Khaled kumfollow na rapper Rick Ross kumpost hitmaker huyo wa Eneka kwenye mtandao wa Instagram, Swizz Beatz na yeye ameamua kufuata nyayo kama hizo.

serena-williams-alexis-ohanian-0aac7472-11f0-4057-ae24-fe7625d570a8-400x242-2

Swizz ameonekana katika kipande ha video akimtaja Diamond. Hata hivyo haikuishia hapo producer huyo ambaye pia ni mume wa msanii Alicia Keys ame-comment katika video hiyo ambayo Diamond ameipost katika mtandao huo.

“@diamondplatnumz Bless up King😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂,” ameandika Beatz katika video hiyo.

Pia kwenye event aliyoiandaa Swizz Beatz ambaye amekuwa akitoa support kubwa kwa wasanii wa Afrika alipiga ‘Seduce Me’ ya Alikiba na ‘kisela’ ya Vanessa Mdee.

Comments

comments

More in Entertainment

mgid_ao_image_logotv

New Video: Jennifer Hudson – Burden Down [Official Music Video]

sadockDecember 13, 2017
_99171871_cef98067-831f-46ed-9b08-b20ac967d873

Oscar Pistorius apata majeraha baada kupigana gerezani

sadockDecember 13, 2017
eminem-e1507948158888-825x620

Eminem: Huwa narekodi ngoma zaidi ya 50 ili nipate ngoma 20 bora kwa ajili ya Album

sadockDecember 11, 2017
WAKADR

Waka ya Diamond yashiKa namba 1 Tanzania, Kenya na Uganda kwenye mtandao wa YouTube

sadockDecember 11, 2017