Entertainment

Diamond afunguka kuhusu collabo yake na Rick Ross na alivyowapata Morgan Heritage kwenye ‘Hallelujah’

Diamond afunguka kuhusu collabo yake na Rick Ross na alivyowapata Morgan Heritage kwenye ‘Hallelujah’
Profile photo of sadock

Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amefunguka kuhusiana na colllabo yake mpya na staa mkubwa wa Marekani, Rick Ross.

Akizungumza na radio ya Coconut Fm ya Zanzibar, Diamond Platnumz amesema “Ni wimbo wangu mpya nimemshirikisha Rick Ross, nimeshoot na video yake tayari Miami, Marekani”

 

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

chrissy-teigen-john-legend-selfie-getty

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia mtoto wapili

sadockNovember 22, 2017
huhuu

Tiwa savage: Mimi sio mjamzito, hizo ni taarifa za uongo

sadockNovember 22, 2017
clo1

Mkuu wa mkoa, Paul Makonda atembelea ofisi za Clouds Media Group kutoa pole

sadockNovember 22, 2017
pink-beautiful-trauma-tracklist

New Video: P!nk – Beautiful Trauma

sadockNovember 22, 2017