Entertainment

Diamond atangaza tarehe rasmi ya kuachia perfume yake ‘Chibu Perfume’

Diamond atangaza tarehe rasmi ya kuachia perfume yake ‘Chibu Perfume’
Profile photo of sadock

Diamond ametangaza siku ambayo ataachia manukato yake ya mapya aliyoyapa jina la Chibu Perfume.

“The Only Scent you deserve, @chibuperfume by Diamond Platnumz coming out this friday!! #TheScentYouDeserve.” Hitmaker huyo wa ‘Marry You’ ametoa taarifa hiyo iliyokuwa ikisubiliwa kwa hamu tangu alipotangaza ujio wa bidhaa zake hizo mpya Novemba mwaka jana.

chibuu

Diamond anaingia kwenye orodha na mastaa wengine wakubwa waliofanikiwa kuingiza bidhaa za manukato yao sokoni kama David Beckham, Rihanna, Nicki Minaj, Beyonce na wengine.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

chrissy-teigen-john-legend-selfie-getty

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia mtoto wapili

sadockNovember 22, 2017
huhuu

Tiwa savage: Mimi sio mjamzito, hizo ni taarifa za uongo

sadockNovember 22, 2017
clo1

Mkuu wa mkoa, Paul Makonda atembelea ofisi za Clouds Media Group kutoa pole

sadockNovember 22, 2017
pink-beautiful-trauma-tracklist

New Video: P!nk – Beautiful Trauma

sadockNovember 22, 2017