Entertainment

Diamond atangaza ujio wa album yake mpya ‘ A boy from Tandale’

Diamond atangaza ujio wa album yake mpya ‘ A boy from Tandale’
Profile photo of sadock

Diamond ametangaza rasmi ujio wa album yake mpya aliyoipa jina la ‘A boy from Tandale’ huku tangazo ilikiambatana na cover la album kabisa, ikiashilia kuwa album hiyo inakaribia kutoka.

ALBUM ALBUM

Diamond ambaye kwasasa yupo jijini Miami, Marekani akimalizia kushoot video ya collabo yake na rapper mkubwa na boss wa MMG, Rick Ross ameandika ‘Album soon come’ huku rapper huyo akicomment kwa kuweka emoji za moto akiashilia kuwa album hiyo itakuwa moto.

Siku za nyuma Diamond alitangaza kuwa ataachia album mbili mfululizo, Ya international yaani soko la nje  na nyingine kwa ajili ya soko lake la ndani ya nchi.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

chrissy-teigen-john-legend-selfie-getty

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia mtoto wapili

sadockNovember 22, 2017
huhuu

Tiwa savage: Mimi sio mjamzito, hizo ni taarifa za uongo

sadockNovember 22, 2017
clo1

Mkuu wa mkoa, Paul Makonda atembelea ofisi za Clouds Media Group kutoa pole

sadockNovember 22, 2017
pink-beautiful-trauma-tracklist

New Video: P!nk – Beautiful Trauma

sadockNovember 22, 2017