Entertainment

Dj D-ommy aachia mixtape mpya ‘#54 Afro-Caribbean’ na walshyfire wa Major Lazor

Dj D-ommy aachia mixtape mpya ‘#54 Afro-Caribbean’ na walshyfire wa Major Lazor
Profile photo of sadock

The international Dj, Dj D- Ommy ameachia mixtape yake mpya akishirikiana na member mmoja wa kundi maarufu la Major Lazer, Walshy fire.

Dj D-Ommy amesema Vanessa Mdee ndio aliyewezesha Mixtape hiyo, amesema alimuonganisha na Dj huyo wa kimataifa kutoka Jamaica, Dj Walshy Fire. Mixtape hiyo imepewa jina la ‘#54 Afro-Caribbean’ imeachiwa rasmi Jumatatu ya tarehe 31 mwezi wa Julai.

54

Pia Dj D-ommy anawania tuzo ya Afrimma kipengele cha ‘Best Dj Africa’ anachoshindana na DJ Spinall(Nigeria), DJ Joe MFalme(Kenya), DJ Black Coffee(South Africa), DJ Exclusive(Nigeria), DJ Kalonje(Kenya), DJ Paulo Paulo Alves(Angola), DJ Crème Delacreme(Kenya) na DJ Nyce(Ghana). Unaweza kumpigia kura HAPA

 

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

Hamisa

Hamisa Mobetto amuita mtoto wake ‘Abdul Naseeb’ je, ni uthibitisho kuwa ni wa Diamond?

sadockAugust 18, 2017
aptopix-jdrf-la-14th-annual-imagine-gala

Usher agoma kuwalipa waliomshitaki kuwa amewaambukiza gonjwa la ngono

sadockAugust 16, 2017
fresh

New Video: Fid Q – Fresh ( Official Music Video)

sadockAugust 15, 2017
nay

New Video: Nay wa Mitego ft Rich Mavoko – Acheze

sadockAugust 11, 2017