Entertainment

Dj Khaled atangaza tarehe ya ujio wa Album yake mpya ‘Grateful’

Dj Khaled atangaza tarehe ya ujio wa Album yake mpya ‘Grateful’
Profile photo of sadock

Album ya 10 ya Dj Khaled iliyopewa jina la ‘Grateful’ itatoka tarehe 23 mwezi huu, Juni.

asahd

Pia Khaled ameachia cover ya album hiyo, ambayo hadi sasa amesha achia ngoma tatu, Ya kwanza ilikua ‘Shinning’ aliyowashirikisha Beyonce na Jay Z na ntingine ni ‘Im the one’ aliyowashirikisha Justin Bieber, Quavo, Chance the rapper na Lil Wayne.

 

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

facup-the-cup-3323603b-1

Ratiba ya raundi ya nne ya FA, Timu ya Nottingham Forest iliyoitoa Arsenal kupambana na Hully City

sadockJanuary 9, 2018
chiiiii

Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya, Jeshi la Polisi Dodoma wathibitisha

sadockJanuary 9, 2018
25008524_375147772949765_5376644961137590272_n

Vanessa Mdee aachia cover ya album yake mpya ‘Money Mondays’

sadockDecember 20, 2017
Vanessa Mdee

Vanessa Mdee asaini mkataba mnono na Universal Music Group, kusimamia usambazaji wa kazi zake nje

sadockDecember 20, 2017