Entertainment

Dj Khaled azindua viatu vyake vya Jordan ‘Grateful Jordan 3′

Dj Khaled azindua viatu vyake vya Jordan ‘Grateful Jordan 3′
Profile photo of sadock

Another One, Dj Khaled ameachia sneaker zake alizoshirikiana na kampuni ya viatu vya Jordan.

Sneaker hizo za Jordan Air 3 zimetoka maalumu kwa ajili ya Album mpya ya Dj Khaled, zimepewa jina la ‘Grateful 3′ na mashabiki wanaweza kujishgindia iwapo uta’pre-order album yake mpya ambayo inataoka June 23.

 

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

facup-the-cup-3323603b-1

Ratiba ya raundi ya nne ya FA, Timu ya Nottingham Forest iliyoitoa Arsenal kupambana na Hully City

sadockJanuary 9, 2018
chiiiii

Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya, Jeshi la Polisi Dodoma wathibitisha

sadockJanuary 9, 2018
25008524_375147772949765_5376644961137590272_n

Vanessa Mdee aachia cover ya album yake mpya ‘Money Mondays’

sadockDecember 20, 2017
Vanessa Mdee

Vanessa Mdee asaini mkataba mnono na Universal Music Group, kusimamia usambazaji wa kazi zake nje

sadockDecember 20, 2017