Entertainment

Dj khaled azungumzia mpango wake wa kuinunua Miami Heat

Dj khaled azungumzia mpango wake wa kuinunua Miami Heat
Profile photo of sadock

Dj Khaled amezungumzia mpango wake wa kutaka kununua hisa za timu ya mpira wa kikapu ya NBA ‘Miami heat’

“Ningependa kuzungumza na timu kuona kama watakubali, napenda kuwa mmiliki hata kama ni kwa asilimia moja,” Khaled aliwaambia TMZ  “Aidha mimi naiwakilisha Miami hata nikiwa nje ya mji, mimi na Miami ni damudamu, Miami heat kila kitu”

LOS ANGELES, CA - JANUARY 13:  Jay-Z (L) and DJ Khaled attend a basketball game between the Miami Heat and the Los Angeles Clippers at Staples Center on January 13, 2016 in Los Angeles, California.  (Photo by Noel Vasquez/GC Images)

Jay Z ni rapper mwingine ambaye anahisa kwenye timu ya Basketball, anahisa za timu ya  Brooklyn Nets yenye thamani ya dolla Billion 1.3 ambapo asilimia moja ya umiliki wa timu hiyo ni sawa na dollar million 13.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

mgid_ao_image_logotv

New Video: Jennifer Hudson – Burden Down [Official Music Video]

sadockDecember 13, 2017
_99171871_cef98067-831f-46ed-9b08-b20ac967d873

Oscar Pistorius apata majeraha baada kupigana gerezani

sadockDecember 13, 2017
eminem-e1507948158888-825x620

Eminem: Huwa narekodi ngoma zaidi ya 50 ili nipate ngoma 20 bora kwa ajili ya Album

sadockDecember 11, 2017
WAKADR

Waka ya Diamond yashiKa namba 1 Tanzania, Kenya na Uganda kwenye mtandao wa YouTube

sadockDecember 11, 2017