Entertainment

DJ KHALID APATA DEAL NYINGINE KUTOKA EPIC RECORS,ALBUM YAKE MPYA”MAJOR KEY” IS ON THE WAY.

DJ KHALID APATA DEAL NYINGINE KUTOKA EPIC RECORS,ALBUM YAKE MPYA”MAJOR KEY” IS ON THE WAY.
Profile photo of sadock

Mara baada ya kupata management deal kutoka Apple music na Roc Nation inayomilikiwa na Jay Z,-We The Best Music Group,inayomilikiwa na Dj Khalid imeendelea kuwa on top kwenye entertaiment headline mara baada ya kupata contract music deal kutoka Epic Records moja kati ya label kubwa za muziki duniani.Epic Recors ambao ni sehemu ya Sony Music,wakiwa tayari wamefanya projects kibao na mastaa wakubwa within music industry kama,Michel Jackson,Ciline Dion,Jenipher Lopez na Shakira,watahusika na  productions kwa baadhi ya kazi zitakazokuwepo kwenye compilation album ya Dj Khalid inayoitwa “Major Key”.

“We the Best Music/Epic. Those two brands are synonymous with quality music and Iconic music,It is a very satisfying feeling to realign myself with someone who shares my vision of bringing fans the best music”Alisema Dj Khalid.

Khalid post on epic records

La Reid,C.E.O wa Epic Records,akielezea mtazamo wake juu ya ushirikiano wao na Khalid,amedai kuwa Dj Khalid ni miongoni wadau wa burudani wenye nguvu kubwa ya mtandao na kuongeza kuwa kwa zaidi ya miaka kumi Khalid ameleta mabadiliko kwenye muziki wa Hip-Hop na R&B.“Khaled is a supremely gifted artist and social media guru whose music has defined hip-hop and R&B for the past decade.”alisema Reid.

dj-khaled-la-reid                                                                Dj Khalid & La-Reid.

Bado haijafahamika album hiyo ya Khalid itatoka lini,ila first realese video kutoka kwenye album hiyo inayotarajiwa kutoka soon ndani yake itamjumuisha rapper Future na manager wa Khalid,Roc Nation C.E.O,Jay-Z.

 

 

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

facup-the-cup-3323603b-1

Ratiba ya raundi ya nne ya FA, Timu ya Nottingham Forest iliyoitoa Arsenal kupambana na Hully City

sadockJanuary 9, 2018
chiiiii

Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya, Jeshi la Polisi Dodoma wathibitisha

sadockJanuary 9, 2018
25008524_375147772949765_5376644961137590272_n

Vanessa Mdee aachia cover ya album yake mpya ‘Money Mondays’

sadockDecember 20, 2017
Vanessa Mdee

Vanessa Mdee asaini mkataba mnono na Universal Music Group, kusimamia usambazaji wa kazi zake nje

sadockDecember 20, 2017