Entertainment

Dj wa Afrika aliyetafutwa na Jay Z na Rihanna ili afanye nao kazi

Dj wa Afrika aliyetafutwa na Jay Z na Rihanna ili afanye nao kazi
Profile photo of sadock

Dj maarufu Africa na dunia nzima kutoka Afrika Kusini Dj Black Coffee amethibitisha kuwa kambi ya Rihanna imetaka afanye naye kazi.

Dj Black Coffee amethibitisha kufanya kazi na Rihanna nakusema tayari ameshatuma nyimbo kadha na kambi ya Rihanna imechagua mmoja ambayo wameipenda na Kazi imeshaanza

jay-z-2-920x690

Dj Black Coffee ameendelea kusema kabla JAY-Z hajatoa album yake ya 4.44 alitaka kufanya naye kazi, Dj Black Coffee anasema “Swizz Beatz alinicheki kuhusu JAY-Z kutaka nifanye naye wimbo,Sababu ya Shauku kubwa nilishindwa kufanya wimbo huo, sikulala usiku kucha, nadhani Sikuwa tayari kwaajili ya kufanya wimbo na JAY-Z”

Dj Black Coffee anasema Ukiachana na Cassie, Riri na JAY-Z, Wasanii wengine wanaotaka kufanya kazi na mimi ni pamoja na Usher Raymond, Akon na Diddy.

 

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

chrissy-teigen-john-legend-selfie-getty

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia mtoto wapili

sadockNovember 22, 2017
huhuu

Tiwa savage: Mimi sio mjamzito, hizo ni taarifa za uongo

sadockNovember 22, 2017
clo1

Mkuu wa mkoa, Paul Makonda atembelea ofisi za Clouds Media Group kutoa pole

sadockNovember 22, 2017
pink-beautiful-trauma-tracklist

New Video: P!nk – Beautiful Trauma

sadockNovember 22, 2017