Entertainment

Ed Sheeran apata ajali ya baiskeli, avunjika mkono

Ed Sheeran apata ajali ya baiskeli, avunjika mkono
Profile photo of sadock

Pop star, Ed sheeran amepata ajali ya baiskeli iliyopelekea kuvinjika kwa mkono wake wa kulia, hii inaweza kuathiri ziara yake ya muziki.

“Nimepata ajali ndogo ya baiskeli” Ed Sheeran ameandika kwenye Instagram yake “Kwasasa napata ushauri wa madaktari, hii inaweza kuathiri baadhi ya show zangu”

_98330959_edarm

Ed sheran alikua kwenye mapumziko ya ziara yake ya dunia ya muziki ambayo ilitakiwa kuendelea wiki ijayo kwenye mji wa Taipei. Ed sheeran bado ana sho 14 kwa mwaka huu kwenye ziara yake hiyo kubwa ya kuipromote album yake ya Divide.

 

 

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

chrissy-teigen-john-legend-selfie-getty

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia mtoto wapili

sadockNovember 22, 2017
huhuu

Tiwa savage: Mimi sio mjamzito, hizo ni taarifa za uongo

sadockNovember 22, 2017
clo1

Mkuu wa mkoa, Paul Makonda atembelea ofisi za Clouds Media Group kutoa pole

sadockNovember 22, 2017
pink-beautiful-trauma-tracklist

New Video: P!nk – Beautiful Trauma

sadockNovember 22, 2017