Entertainment

Eminem: Huwa narekodi ngoma zaidi ya 50 ili nipate ngoma 20 bora kwa ajili ya Album

Eminem: Huwa narekodi ngoma zaidi ya 50 ili nipate ngoma 20 bora kwa ajili ya Album
Profile photo of sadock

Kwenye mahojiano na jarida la Interview nchini Marekani, staa wa HipHop mwenye ngozi nyeupe na ushawishi mkubwa Duniani Eminem amesema huwa ana rekodi takriban nyimbo 50 akiwa anatengeneza albam yake mpya ili kuweza kuchagua zipi zitakuwa kwenye album.

DQTLp5wXkAEo_iE-768x960

Album yake mpya amewashirikisha wasanii kama Beyoncé, Alicia Keys, Ed Sheeran, Kehlani, imepewa jina Revival na itatoka Dec. 15. Picha ni Cover la album na orodha ya nyimbo

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

facup-the-cup-3323603b-1

Ratiba ya raundi ya nne ya FA, Timu ya Nottingham Forest iliyoitoa Arsenal kupambana na Hully City

sadockJanuary 9, 2018
chiiiii

Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya, Jeshi la Polisi Dodoma wathibitisha

sadockJanuary 9, 2018
25008524_375147772949765_5376644961137590272_n

Vanessa Mdee aachia cover ya album yake mpya ‘Money Mondays’

sadockDecember 20, 2017
Vanessa Mdee

Vanessa Mdee asaini mkataba mnono na Universal Music Group, kusimamia usambazaji wa kazi zake nje

sadockDecember 20, 2017