Lifestyle

Exclusive-Baraka The Prince amkana tena mdogo wake mwingine + Video

Exclusive-Baraka The Prince amkana tena mdogo wake mwingine + Video
Profile photo of sancho song

Baraka The Prince ni msanii mwenye mafanikio makubwa katika muziki wa Bongo fleva ila anashutumiwa kwa kukana ndugu zake na kugombana na wasanii wenzake kwake ni jambo la kawaida tu, Mwaka uliyopita alilalamikiwa na mdogo wake ambaye alikuwa ni mtoto wa baba yake mdogo aliyekuwa anakaa nae nyumba moja hapa DSM (kwa Baraka The Prince). Juzi tena tukasikia ugomvi baina yake yeye na Benpol pamoja na Jux akiwashambulia kuwa wameimba wimbo mbaya, kufuatilia kwa ukaribu ikaonekana kuwa Jux na Benpol walikuwa wanaukaribu sana na Baraka The Prince kwenye kazi zao za muziki na walikuwa wana miradi mingi ya nyimbo za pamoja na shows ila Baraka The Prince alikuwa mkorofi na kusababisha baadhi ya kazi zao kukwama ndipo walipoamua kumpunguza kimya kimya bila watu kujua hapo ndipo Baraka alipoanza kuwashambulia kwa maneno mabaya.
Sasa juzi tukapata ugeni kutoka TEMEKE wa washkaji zetu watatu,baada ya kupiga nao storyIMG_1157

wakatuambia kuwa wamekuja hapa teamtz kwa shida moja tu ya kumuombea msaada mwenzao aliyekuwa anafahamika kwa jina la Bakari. Bakari ni kijana mwenye umri wa miaka 17 kutoka Mwanza alidai yeye na Baraka The Prince ni ndugu wa damu ila alipomfuata huku DSM alimkana mbele ya hao marafiki zake ambao ni Ladha Mond na Lawii ambao kwa sasa ndio wanaishi nae baada ya kukataliwa kuondoka nae.

Itazame hii video kwa story kamili

Comments

comments

Lifestyle

More in Lifestyle

170111_WAR_tillerson.jpg.CROP.promo-xlarge2

Marekani yasema haina uadui na Korea Kaskazini

sadockAugust 2, 2017
kibi

Kibiti Geust House na Viwanja vya panda bei

sancho songJuly 31, 2017
zzzzzzzz

(Eti kutwa nzima ajifungie chumbani kulia),Haya ni baadhi ya yale maneno 68 ya Diamond kwa Zari

sancho songJuly 29, 2017
mazi

Mazishi na muziki -Ghana

sancho songJuly 27, 2017