Entertainment

Exclusive-Edu boy ashangazwa na comment ya Benpol kwa Fid Q + Video

Exclusive-Edu boy ashangazwa na comment ya Benpol kwa Fid Q + Video
Profile photo of sancho song

kupitia account ya instagram, Fid q alipost picha akiwa yeye na Edu boy na kuandika hivi “SIJAWAHI KUJUTA KUMNYIMA EDU BOY NAMBA YANGU” Edu boy hiyo aliichukulia poa na kujibu kuwa wasanii wenzake watakuwa hawakuuelewa wimbo wake uliyo kuwa unaitwa NAIYE aliyo mshirikisha Bill nas alipokuwa anaulizwa na vyombo vya habari baada ya post hiyo.Mi ninafikiri wasanii wenzangu wausikilize vizuri huo wimbo sina maana ya kumtusi wala kumsema mtu nimeelezea njia zangu nilizopitia katika kazi yangu ya muziki na nilikuwa nina haki ya kusema yale yote niliyo jibiwa na wasanii waliyo nitanguluia wakati nawaomba msaada kwaajili ya kuwapa mwanga wasanii wanao hangaika sasa hivi -Edu boy alijibu hivyo, akaendelea tena nakusema ila kilicho nishangaza ni huyu brother Benpol kuchangia mada tena kwakupigilia msumali na kusema kuwa eti mimi nilimuimba kwenye wimbo wangu kuwa alini block alafu baadae nikampata wakati tulisha yaongea hayo na kuyamaliza sasa pale alikuwa anatengeneza nini kama sio chuki za ajabu tu

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

barnaba

New Video: Barnaba – Mapenzi Jeneza (Official Music Video)

sadockSeptember 20, 2017
future-wizkid-world-tour (1)

New Music: Wizkid f/ Future – Everytime

sadockSeptember 20, 2017
18_ba_ANP-53285975

Uliikosa orodha ya washindi wa tuzo za Emmys 2017, Hii hapa yote

sadockSeptember 20, 2017
atengeneze

Diamond akiri mtoto wa Hamisa ni wa kwake, aomba msamaha

sadockSeptember 19, 2017