Entertainment

Exclusive-Motra ThE Future apata dili WcB baada ya Stereo + Video

Exclusive-Motra ThE Future apata dili WcB baada ya Stereo + Video
Profile photo of sancho song

Ni ile siku Diamond Platnumz aliyokuwa anazindua ngoma zake mbili ambazo ni I MISS YOU na FIRE kupitia Xxl ya Clouds fm ndipo Motra ThE Future akapata nafasi ya kukutana Rais wa wasafi na kumkumbusha kauli yake ambayo aliwahi kuiongea siku moja ,kuwa katika maraper  bora wa Tanzania ukimtoa Young Killer na Stereo Motra ThE Future nae ndani ya list.Alijisikia vibaya sana pale alipo muona Raper Stereo akiwa ameitumia Fursa kwa uzuri kabisa baada ya kutajwa na Diamond siku moja hapo ndio na yeye akaamua kuianza safari ya kwenda WcB ila hakufanikiwa
hebu msikilize hapa

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

chrissy-teigen-john-legend-selfie-getty

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia mtoto wapili

sadockNovember 22, 2017
huhuu

Tiwa savage: Mimi sio mjamzito, hizo ni taarifa za uongo

sadockNovember 22, 2017
clo1

Mkuu wa mkoa, Paul Makonda atembelea ofisi za Clouds Media Group kutoa pole

sadockNovember 22, 2017
pink-beautiful-trauma-tracklist

New Video: P!nk – Beautiful Trauma

sadockNovember 22, 2017