Sports

FIFA AWARDS: Cristiano Ronaldo ashinda mchezaji bora mwaka 2016, Tazama orodha kamili ya washindi

FIFA AWARDS: Cristiano Ronaldo ashinda mchezaji bora mwaka 2016, Tazama orodha kamili ya washindi
Profile photo of sadock

Usiku wa January 9 2017 shirikisho la soka ulimwenguni FIFA lilifanya hafla ya utoaji wa tuzo ya mchezaji bora wa dunia wa FIFA mjini Zurich Uswiss, tuzo hizo ambazo mwaka huu zimekuwa za tofauti kutokana na FIFA kufanya tuzo zao baada ya kutengana na French Football waandaaji wa Ballon d’Or.

Tuzo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu zaidi ya mchezaji bora wa dunia mwaka 2016 imeenda kwa Nyota wa Portugal na Madrid, Cristiano Ronaldo ambaye alikuwa akichuana na Lionel Messi na Antoine Griezmann.

Hii ndio orodha kamili ya washindi,

– FIFA Men’s Player Award: Cristiano Ronaldo

– FIFA Women’s Player Award: Carli Lloyd

– FIFA FIFPro World11: Manuel Neuer; Dani Alves, Gerard Piqué, Sergio Ramos, Marcelo; Toni Kroos, Luka Modric, Andrés Iniesta; Leo Messi, Cristiano Ronaldo and Luis Suárez.

– FIFA Men’s Coach Award: Claudio Ranieri

– FIFA Women’s Coach Award: Silvia Neid

– FIFA Puskas Award 2016: Mohd Faiz Subri

– FIFA Fair Play Award: Atlético Nacional

– FIFA Fan Award: Borussia Dortmund-Liverpool supporters

– FIFA lifetime achievement award: Alessandro “Falcão” Rosa Vieira

Comments

comments

Sports

More in Sports

MANCHESTER, ENGLAND - MAY 24:  Yaya Toure of Manchester City applauds supporters as he is replaced during the Barclays Premier League match between Manchester City and Southampton at Etihad Stadium on May 24, 2015 in Manchester, England.  (Photo by Shaun Botterill/Getty Images)

Toure apiga chini dola 459,000 kwa wiki kwenda China

sadockJanuary 18, 2017
football

China yaunda sheria mpya ya usajili, klabu kusajili wachezaji 3 tu kutoka za nje ya China

sadockJanuary 17, 2017
pep

Pep Guardiola asema ubingwa EPL kwa Man City ni ndoto

sadockJanuary 16, 2017
fifa-logo-design-history-and-evolution-wkuq7omm-2161994

FIFA kupiga kura ili kuongeza idadi ya mataifa yanayoshiriki Kombe la Dunia

sadockJanuary 10, 2017