TEAM TZ

Information

Leo Tena

Leo Tena, every day from 9 am to 1 pm on CLOUDS FM

Website: http://www.teentz.com
Location: Mikocheni Dar es salaam
Members: 282
Latest Activity: on Friday

Discussion Forum

HEMED ULICHEMKA

Started by amsi pauline charles nyambuche. Last reply by ibrahim mhina Sep 22, 2012. 4 Replies

listen hemed, unaweza kuwa muigizaji mzuri, muimbaji mzuri but character yako inaanza kutukera sio siri, juzi nimesikiliza leo movie kwenye leo tena ulipomuongelea single mtambalike, let me tell you…

Hello

Started by KENEDY ANTHONY. Last reply by ally May 4, 2012. 1 Reply

Mbona Wasanii wetu Wanafanya Mziki Kama Biashara Ya Karanga?Halafu Hawa Watu Wanao Edit Picha Mbona Wana Mdhalilisha Kiongozi Wetu?…

copy and paste ya movie za nje itaisha lini jamani

Started by amsi pauline charles nyambuche. Last reply by ally May 4, 2012. 1 Reply

jamani kwanini watu wasibuni matukio yao mpaka waige jamani, best man copy and paste ya movie ya nje best man, dangerous desire copy and paste movie ya kinigeria, regina copy and paste movie ya…

mavazi ya waigizaji

Started by amsi pauline charles nyambuche. Last reply by Gift Gyft R Jun 26, 2011. 1 Reply

guys jamani kama hamjaangalia bongo movies angalieni cause its too much jamani na haya mavazi ya waigizaji wa kike, inakuwa kama waigizaji wanajinadi wao sio kuact movie, jamani nani aliyesema kuvaa…

Comment Wall

Comment

You need to be a member of Leo Tena to add comments!

Comment by Syl Souljaboy on February 21, 2015 at 5:51pm
Comment by Allymaloko on December 26, 2012 at 10:45am
Daåaaah! Nina mpunga mwingi mpaka nashindwa cha kufanya,karibuni jama.
Comment by glory shirima on November 27, 2012 at 12:29am

 RIP   sharo millionea

                                                                                                                              

Comment by Tracey Abdul on November 13, 2012 at 11:59pm
leo tena ni pndi 1 la ukweli xana clouds radio,big up dina,gea,zamaradi bila kumxahau auntie sadaka...
Comment by enock haule on October 18, 2012 at 5:21pm

hapa ni kama vile nipo tz sio siri ila nipo south africa na enjoy kila kona ya kipindi hiki

Comment by BAB LEE on September 17, 2012 at 4:31pm

hapa ndo kuna burudani safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Comment by Shija Kabale on September 13, 2012 at 3:29pm
Comment by Daud Njile on September 5, 2012 at 8:09pm

sio inshumzazi

Comment by Denis kajo on July 25, 2012 at 11:55pm
Nakipenda sana kipindi hiki na nachukia nikikosapo!
Comment by amsi pauline charles nyambuche on July 9, 2012 at 7:15am

dada dina kuhusu issue ya wema sepetu nakupongeza sana bidada cause watu waliocoment kwa blog ya dina hamkuwaza kwakweli cause guys tanzania ni nchi huru na kila mwananchi ana uhuru wa kutoa maoni yake, ni kweli dada wema ulituambia utazindua movie, kampuni na website but tukaona tuu uzinduzi wa movie, guys kuweni makini sana na promo mnazopiga jamani mnatulet down wadau, pili jamani wadada wa bongo movies mnatia aibu kwakweli ni vituko gani mlivyovaa kwenye event ya wema with the exception ya irene wadada wengine wote mliwaka kwakweli, mainda ulikuwa unaenda boxing au uzinduzi manake unaonekana kama boxer tena aliyepoteza mwelekeo, nimependa sana vanity butterfly na missie popular walivyocomment kwenye blog zao, jamani lady gaga muachieni swag zake anaziweza yeye mwenyewe ukitaka kucopy utaharibu jamani, mbona botique bongo nyingi na nzuri tuu, mbona madesigner wazuri wamo wanaoweza kutuvisha tukapendeza, kwanini mumtie aibu mwenzenu, irene uwoya ndo cjui ulikuwa unaenda kuact movie ya dracula manake hatukukuelewa kwakweli kama ulitaka kuonekana unique uliharibu kwakweli, lakini unajua nishagundua kuwa wasanii wa kike wa kibongo hamna exposure at all, wema u looked beautful kwakweli pongezi nyingi ila wenzio walikuaibisha kwakweli, nahic omotola aliona aibu kwa niaba yenu manake kesho yake kule girrafe hotel mainda ndo ukaharibu zaidi ulionekana kama comando yosso, jamani angalieni party za nje agalieni wanavaaje kwenye event zao den nenda kwa madisigner oder  kiwalo chako utengenezewe, unajua jinc ambavyo hamko serious na uvaaji wenu hata kazi zenu nazo zinakuwa hovyo vilevile big up ray ulipendeza sana, classy na steve nyerere i liked ulivyotoka inaonesha seriousness na unachokifanya, yaani nawaapia bongo movies msipobadilika mtaona mnaishia hapa hapa bongo hamtaenda kokote cz kila kitu mnachemka, good mmegundua kushoot videoz zenu vizuri what abt script, continutity, costume, uigizaji na mengine mengi bado mpo nyuma changamkeni, huo mtizamo wangu tuu

 

Members (282)

 
 
 

G5 CLICK - LATEST NEWS

EXCLUSIVE - PICHA MPYA ZENYE UTATA ZA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI THE BOSS LADY WAKIWA NDANI YA JIJI LA DAR.

Diamond Platnumz na Zari the boss lady kwa mara ya kwanza walikutana kwenye ndege wakati wakitokea South Africa kuja Tanzania na kupiga picha za kawaida za pamoja ambazo walizi-post kwenye mtandao wa instagram. SASA LEO TEAMTZ.COM…


FREE FLAVA

 

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service