TEAM TZ

tsup fellow TZ !

Mnaonaje media zetu za kibongo ziwe spread to some other countries ! manake wa tz tuliopo nje ya tz tunataman sana kuwa tunapata flavour za home na news za home but mpaka uzi search net ndo waweza pata but kama zikiwa available itakuwa mzuka zaid 1 thats what i think , na wewe je!!!!!!!!!!

Views: 80

Replies to This Discussion

That is a good idea. I think more radio stations or the powerhouses behind the radio stations should consider offering streaming services for their content so that anyone anywhere can just open their web page to tune regardless of location! Definitely would rock!!

yeah ni kweli nadhan ni mda mwafaka wa wadau na wahusika kwa jumla kulifikiria hilo

Na ndo ki2 kinachofanyika.Soon itakua ina T Sha mbaya.

RSS

G5 CLICK - LATEST NEWS

EXCLUSIVE - PICHA MPYA ZENYE UTATA ZA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI THE BOSS LADY WAKIWA NDANI YA JIJI LA DAR.

Diamond Platnumz na Zari the boss lady kwa mara ya kwanza walikutana kwenye ndege wakati wakitokea South Africa kuja Tanzania na kupiga picha za kawaida za pamoja ambazo walizi-post kwenye mtandao wa instagram. SASA LEO TEAMTZ.COM…


FREE FLAVA

 

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service