Entertainment

Harmonize: Nikiondoka WCB labda niende Roc Nation au Young Money

Harmonize: Nikiondoka WCB labda niende Roc Nation au Young Money
Profile photo of sadock

Mkali wa Bongo Fleva, Harmonize ametaja label ya muziki ambayo anaweza kwenda iwapo akiondoka label aliyopo sasa hivi.

Ikitokea kufanya kazi na lebo nyingine, lebo yoyote tunaweza kufanya kazi ila me ninawish Roc Nation au Young Money” Harmonize alikiambia kipindi cha XXL cha CloudsFM.

“Kwasababu siwezi kutoka WCB nikaenda lebo nyingine ya kawaida kwasababu ukizungumzia WCB unazungumzia lebo kubwa Africa kwahiyo nikitoka Africa natamani kwenda worldwide.” Harmonize aliongeza.

 

 

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

fu

Future atoa ratiba ya Tour yake, Tanzania ndani

sadockJune 23, 2017
lid

New video-Kutoka kwa Lidy Mgaya-Tuilinde Amani Yetu

sancho songJune 22, 2017
casi

New-Cassim Mganga Feat. Baby J | Lea | Official Music Video

sancho songJune 22, 2017
Tiwa1

Nyingine mpya kutoka kwa Diamond Platnumz na Tiwa Savege-Fire

sancho songJune 22, 2017