Lifestyle

Haya ndio matokeo ya vita ya maneno iliyokuwa inaendelea kati ya Diamond Vs Zari

Haya ndio matokeo ya vita ya maneno iliyokuwa inaendelea kati ya Diamond Vs Zari
Profile photo of sancho song

Ndio maana wakati mwingine naonaga bora tu nile na kusepa maana hawathaminikagi wala kuaminika hawa ilikuwa post ya kwanza kutoka kwa Diamond kwenda kwa Zari kupitia page ya yake ya instagram

IMG-20170612-WA0093 (1)

Baadae Zari alijibu kwa kusema Mwanaume huyo ni Binamu wa Marehemu Ivan na kwamba aliyewapiga hiyo picha ni Mke wa huyuhuyu jamaa hivyo hakukua na chochote kibaya ambapo hata hivyo Zari na Diamond walizifuta post hizo.

IMG_20170612_160042_461

Baada ya Diamond kufuta alipost tangazo la GSM Mall ‘Usije kusubiria eti zimebaki siku mbili ndio kuhangaika na nguo za mtoto za Sikukuu….kawai mapemaaaa #BABYSHOP iliopo kwenye Mall the @gsmmall …. #BABYSHOP we Value your baby!!’

Kisha post inayofata Diamond alipost picha zake akiwa na Zari na mtoto wao huko South Africa huku picha hizo zikiwa na mziki wa taarabu kwa chini unaoimba ‘Wawili tumeamua mapenzi yetu safi, tugombane asubuhi jioni tunaongea…… halina shombo penzi hili popote tunatanua

Comments

comments

Lifestyle

More in Lifestyle

170111_WAR_tillerson.jpg.CROP.promo-xlarge2

Marekani yasema haina uadui na Korea Kaskazini

sadockAugust 2, 2017
kibi

Kibiti Geust House na Viwanja vya panda bei

sancho songJuly 31, 2017
zzzzzzzz

(Eti kutwa nzima ajifungie chumbani kulia),Haya ni baadhi ya yale maneno 68 ya Diamond kwa Zari

sancho songJuly 29, 2017
mazi

Mazishi na muziki -Ghana

sancho songJuly 27, 2017