Business

Hili ndilo gari la kifahali na gharama zaidi Duniani kwa mwaka 2017, Linauzwa Tsh 29b

Hili ndilo gari la kifahali na gharama zaidi Duniani kwa mwaka 2017, Linauzwa Tsh 29b
Profile photo of sancho song

Huenda ukawa umesikia story nyingi kuhusu magari yaliyoingia sokoni 2017 ila hii ikawa ilikupita. Ni kampuni ya kutengeneza magari ya kifahari dunia Rolls Royce imeingiza sokoni gari ghali zaidi dunia inayoitwa Rolls Royce Sweptail. 

gariiii

Hii imekuwa kawaida kwa watu wenye fedha zao kufanya manunuzi ya magari, nyumba na vitu vingine kwa gharama kubwa na hii Rolls Royce Sweptail inauzwa Dollar 13m za Marekani ambazo ni sawa na Tsh. 29b na unaambiwa utengenezaji wake umefanywa kwa miaka minne ikiwa ni agizo maalum la mteja kuanzia mwaka 2013.

garii

gari

gar

Comments

comments

Business

More in Business

sta

List ya mastaa wa soka barani Ulaya kuja Tanzania yazidi kuongezeka

sancho songJune 20, 2017
maguf

JPM Amwagiwa sifa baada ya kufanya mkutano na Prof. John L. Thorton

sancho songJune 15, 2017
CHABO

CHABO MAGAZETINI:Vita mpya ya kisiasa yaibuka,milioni 110 zamng’oa Niyonzima, Marufuku kumgusa Mkapa, Kikwete na matajiri warejea yanga wamsainisha Ajibu miaka 2

sancho songJune 15, 2017
_MG_0005

Wateja wa Access Bank waendelea kufaidi huduma ya Selcom pay

sancho songJune 9, 2017