Entertainment

HUYU NDIE MGENI MPYA KWENYE FAMILIA YA JOHN LEGEND NA CHRISSY TEIGEN.

HUYU NDIE MGENI MPYA KWENYE FAMILIA YA JOHN LEGEND NA CHRISSY TEIGEN.
Profile photo of sadock

Hit maker wa single ya “All Of Me”,John Legend na mkewe Chrissy Teigen wamefanikiwa kupata mtoto wao wa kwanza waliempa jina Luna.

chrissy-teigen-john-legend

Chrissy ambaye ni mwanamitindo na Tv Host,alijifungua on Thursday,April 14 lakini alithibitisha ujio wa mgeni huyo kwenye familia yao siku ya jumapili kupitia akaunti yake ya instagram kwa kuandika”She’s here!Luna Semeone Stephen we are so in love with you and sleepy,very sleepy”.

legend wife post on lunaaaaa

John  Legend nae hakuficha furaha yake juu ya ugeni wa binti yao,kwani later on kupitia akaunti yake  ya twiter aliandika “Our new love is here!Luna Simene Stephen,born on thursday,the 14th.We couldn’t be happier!”.

john legend post on luna

 

 

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

facup-the-cup-3323603b-1

Ratiba ya raundi ya nne ya FA, Timu ya Nottingham Forest iliyoitoa Arsenal kupambana na Hully City

sadockJanuary 9, 2018
chiiiii

Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya, Jeshi la Polisi Dodoma wathibitisha

sadockJanuary 9, 2018
25008524_375147772949765_5376644961137590272_n

Vanessa Mdee aachia cover ya album yake mpya ‘Money Mondays’

sadockDecember 20, 2017
Vanessa Mdee

Vanessa Mdee asaini mkataba mnono na Universal Music Group, kusimamia usambazaji wa kazi zake nje

sadockDecember 20, 2017