Entertainment

Huyu ndio mrithi wa Wiz Khalifa kwa Amber Rose

Huyu ndio mrithi wa Wiz Khalifa kwa Amber Rose
Profile photo of sancho song

Mwanamitindo wa Marekani  huwa hataki mchezo hata kidogo pale linapokuja suala zima la mahusianao.

Baada ya kukaa muda mrefu bila ya kuonekana na mpenzi mpya tangu alipoachana na mzazi mweziye Wiz Khalifa, mrembo huyo ameonekana kuingia katika mahusiano mapya na rapper  Savage.

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Amber na Savage wameamua kufanya kweli baada ya wiki kadhaa kuzaniwa wawili hao wanamahusiano kwa kuonekana mara nyingi wakiwa wapo karibu, inadaiwa kuwa mpaka Savage anatarajia kwenda kumtambulisha Amber kwa wazazi wake na familia yake kwa ujumla.

Amber Rose amemzidi mpenzi wake huyo mpya takriban miaka tisa, hata hivyo sio couple ya kwanza duniani kuzidiana umri, Savage ana miaka 21 na Amber Rose ana miaka 33

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

chrissy-teigen-john-legend-selfie-getty

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia mtoto wapili

sadockNovember 22, 2017
huhuu

Tiwa savage: Mimi sio mjamzito, hizo ni taarifa za uongo

sadockNovember 22, 2017
clo1

Mkuu wa mkoa, Paul Makonda atembelea ofisi za Clouds Media Group kutoa pole

sadockNovember 22, 2017
pink-beautiful-trauma-tracklist

New Video: P!nk – Beautiful Trauma

sadockNovember 22, 2017