Entertainment

Irene Uwoya: Machozi ya furaha yananitoka kufunga ndoa na Dogo Janja

Irene Uwoya: Machozi ya furaha yananitoka kufunga ndoa na Dogo Janja
Profile photo of sadock

Irene Uwoya amethibitisha tetesi za kuwa amefunga ndoa na Dogo Janja. Ameandika kwenye Instagram kuwa ana furaha kubwa kuolewa na rapper huyo ambaye ni mwanaume wa ndoto yake.

Uwoya-2

Kabla ya hapo, Irene Uwoya alikuwa ameolewa na Hamad Ndikumana na kujaaliwa kupata mtoto mmoja.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

chrissy-teigen-john-legend-selfie-getty

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia mtoto wapili

sadockNovember 22, 2017
huhuu

Tiwa savage: Mimi sio mjamzito, hizo ni taarifa za uongo

sadockNovember 22, 2017
clo1

Mkuu wa mkoa, Paul Makonda atembelea ofisi za Clouds Media Group kutoa pole

sadockNovember 22, 2017
pink-beautiful-trauma-tracklist

New Video: P!nk – Beautiful Trauma

sadockNovember 22, 2017